Wednesday, 6 January 2016
SIKU YA-1: ROHO MTAKATIFU- HITAJI LETU KUU
Basi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Baba aliye mbinguni hatazidi sana kuwawapa Roho Mtakatifu hao wamwombao? Luka 11:13
Mapendekezo ya Utaratibu Kipindi cha Maombi
Kusifu: (Takribani dakika 10)
• Anzeni kipindi kwa kumsifu Mungu: Jinsi alivyo; kwa upendo Wake; Hekima Yake, Utakatifu Wake n.k.
• Msifu Mungu kwamba atakufundisha jinsi ya kukaa ndani Yake.
• Msifu Mungu kwamba yuko zaidi ya tayari kukupatia zawadi kuu, Roho Mtakatifu.
Kuungama na Kudai ushindi dhidi ya dhambi (dakika 5)
• Muombe Mungu akuonyeshe dhambi unazohitaji kuungama moyoni, ukidai ushindi dhidi ya dhambi hizo.
Tuesday, 17 November 2015
Saturday, 3 October 2015
Sabato ya mlimani.......!
Sabato ya Leo Tar 03 Oct 2015 imekuwa ni sabato ya pekee sana kwetu,kwani imekuwa ni Sabato ya kupanda mlimani. Tumepanda mlimani kuzungumza na Mungu wetu tukiongozwa na wachungaji Charles Mashambo na Michael Otieno...........! Mbali nakuwepo kwa program hiii ya maombi Ila poa kulikuwa program ya ugawaji vitabu kwa washiriki.
Vitabu vilivyogawanywa ni pamoja na Biblia na vijuzuu vingine vingi. Kisha program ya kutembelea kwa kengo la kushuhudia
.......!
Hakika ilikuwa ni Sabato y pekee san a kwetu. Aribu tujiunge pamoja Ibada ijayo.Ili kufika kanisani kwetu kmaa upo Tanga mjini basi panda hiace ziendazo donge kisha shu
kukia sokon makorora,uliza kwa hoda boda wajuelekeze mahali kanisa lilipo.

Saturday, 9 May 2015
Baadhi Ya picha za Tukio zima La leo Hapa kanisani kwetu ikiwa ni Sabato ya Wageni
Baadhi ya Picha za Tukio la Leo {Sabato Ya wageni}
Kwaya ya Nguvumali......Ndiyo ilikuwa Kwaya Rasmi
Kwaya ya Nguvumali......Ndiyo ilikuwa Kwaya Rasmi
Kwaya ya Vijana wa Tanga School wakitoa Huduma Ya wimbo
Hapa chini ni kwaya ya Vijana wa kanisa nao wakiimba wakati wa shule Ya Sabato {Wimbo wa Pili}
Endelea kuwa nasi tutakuwekea Picha nyingi zaidi ya hizi kadiri Tuzipatapo...........!
Saturday, 21 March 2015
MATENDO YA HURUMA --VIJANA WA MTAA WA MAKORORA TANGA
Baadhi ya Picha za Matukio ya Sabato ya leo Tar 21 march 2015., Wakati Vijana wa Kanisa La Wa Adventista Wasabato Mtaa wa Makorora waliposhiriki katika siku maalum ya Matendo ya Huruma Ulimwenguni......!
Walitembelea vituo viwili vya wahitaji kikiwemo {Jela/Mahabusu ya watoto na kituo cha kulea wazee wasiojiweza} Huko walitoa vitu mbalimbali vya kusaidia mfano chakula na Nguo......!
Kisha mwisho walihitimisha kwa kuungana na vijana wenzao wa mtaa wa Kana katika zoezi la kuchangia Damu.
Japo mwanzo kulikuwa na manyunyu ila hatukujali

Hapa kwaya ya Vijana mabawa ikitupatia wimbo,Ilikuwa Mahabusu ya watoto
kisha tukafika na Mabanda ya wazee wasiojiweza
Kutoka kulia kwako aliyesimama ni Paulo C.Mushi,Walichuchumaa ni Stela Paula,Elifadhi Wiliam,,,,Entuja William,Julius Kahema na Saimon John.
Hapa kwaya ya vijana Magomeni wakitupatia wimbo
Thursday, 22 January 2015
MAHUBIRI MAKUU YANAAZA HIVI KARIBUNI KUPITIA TELEVISHENI YAKO PENDWA YA MsTv {Morning Star Tv} Usikose

Saturday, 17 January 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)