Pages

Wednesday 6 January 2016

SIKU YA-1: ROHO MTAKATIFU- HITAJI LETU KUU


Basi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Baba aliye mbinguni hatazidi sana kuwawapa Roho Mtakatifu hao wamwombao? Luka 11:13
Mapendekezo ya Utaratibu Kipindi cha Maombi
Kusifu: (Takribani dakika 10)
• Anzeni kipindi kwa kumsifu Mungu: Jinsi alivyo; kwa upendo Wake; Hekima Yake, Utakatifu Wake n.k.
• Msifu Mungu kwamba atakufundisha jinsi ya kukaa ndani Yake.
• Msifu Mungu kwamba yuko zaidi ya tayari kukupatia zawadi kuu, Roho Mtakatifu.
Kuungama na Kudai ushindi dhidi ya dhambi (dakika 5)
• Muombe Mungu akuonyeshe dhambi unazohitaji kuungama moyoni, ukidai ushindi dhidi ya dhambi hizo.

Saturday 3 October 2015

Sabato ya mlimani.......!

Sabato ya Leo Tar 03  Oct  2015 imekuwa ni sabato ya pekee sana  kwetu,kwani imekuwa ni Sabato ya kupanda mlimani. Tumepanda mlimani kuzungumza na Mungu wetu tukiongozwa na wachungaji Charles Mashambo  na Michael Otieno...........! Mbali nakuwepo kwa program hiii ya maombi Ila poa kulikuwa program ya ugawaji vitabu kwa washiriki.
 Vitabu vilivyogawanywa  ni pamoja na Biblia  na vijuzuu vingine vingi. Kisha program ya kutembelea kwa kengo la kushuhudia
.......!





Hakika ilikuwa ni Sabato y pekee san a kwetu. Aribu tujiunge  pamoja  Ibada ijayo.Ili kufika kanisani kwetu kmaa upo Tanga mjini basi panda hiace  ziendazo donge kisha shu
kukia sokon makorora,uliza kwa hoda boda  wajuelekeze  mahali kanisa  lilipo.

Saturday 9 May 2015

Baadhi Ya picha za Tukio zima La leo Hapa kanisani kwetu ikiwa ni Sabato ya Wageni

Baadhi ya Picha za Tukio la Leo {Sabato Ya wageni}
 Kwaya ya Nguvumali......Ndiyo ilikuwa Kwaya Rasmi
Kwaya ya Vijana wa Tanga School  wakitoa Huduma Ya wimbo
 Hapa chini ni kwaya ya Vijana wa kanisa  nao wakiimba wakati wa shule Ya Sabato {Wimbo wa Pili}
Endelea kuwa nasi tutakuwekea Picha nyingi zaidi ya hizi kadiri Tuzipatapo...........!

Saturday 21 March 2015

MATENDO YA HURUMA --VIJANA WA MTAA WA MAKORORA TANGA

Baadhi ya Picha za Matukio ya Sabato ya leo Tar 21 march 2015., Wakati Vijana wa Kanisa La Wa Adventista Wasabato Mtaa wa Makorora waliposhiriki katika siku maalum ya Matendo ya Huruma Ulimwenguni......! 
Walitembelea vituo viwili vya wahitaji kikiwemo {Jela/Mahabusu ya watoto na kituo cha kulea wazee wasiojiweza} Huko walitoa vitu mbalimbali vya kusaidia mfano chakula na Nguo......!
Kisha mwisho walihitimisha kwa kuungana na vijana wenzao wa mtaa wa Kana katika zoezi la kuchangia Damu.
Japo mwanzo kulikuwa na manyunyu ila hatukujali
Hapa kwaya ya Vijana mabawa ikitupatia wimbo,Ilikuwa Mahabusu ya watoto
 kisha tukafika na Mabanda ya wazee wasiojiweza

Kutoka kulia kwako aliyesimama ni Paulo C.Mushi,Walichuchumaa ni Stela Paula,Elifadhi Wiliam,,,,Entuja William,Julius Kahema na Saimon John.

Hapa kwaya ya vijana Magomeni wakitupatia wimbo



Thursday 22 January 2015

MAHUBIRI MAKUU YANAAZA HIVI KARIBUNI KUPITIA TELEVISHENI YAKO PENDWA YA MsTv {Morning Star Tv} Usikose

MAHUBIRI MAKUU YANAAZA HIVI KARIBUNI KUPITIA TELEVISHENI MPYA YENYE UBORA WA KIWANGO CHA JUU YA MORNING STAR TELEVISHENI YAKIENDESHWA NA MHUBIRI WA KIMATAIFA MWINJILISTI GEOFREY MBWANA KUTOKA MAREKANI. USIKOSE FURSA HII ADIMU AMBAYO MUNGU AMEWAPATIA WAKAZI WA DUNIA. WAZO KUU NI THAWABU YA UADILIFU. KARIBUNI SANA

Saturday 17 January 2015

SIKU KUMI ZA MAOMBI IJUMAA 16/01/2015 Siku ya 10—Kiasi

SIKU KUMI ZA MAOMBI
IJUMAA 16/01/2015
Siku ya 10—Kiasi
Matthew 4:1-11
Mapendekezo ya Huduma ya Maombezi:
Uwe huru kudai ahadi zingine pia. Kumbuka maagizo yote ya Mungu yana kuwezeshwa ndani yake!..........................