Pages

Saturday 21 March 2015

MATENDO YA HURUMA --VIJANA WA MTAA WA MAKORORA TANGA

Baadhi ya Picha za Matukio ya Sabato ya leo Tar 21 march 2015., Wakati Vijana wa Kanisa La Wa Adventista Wasabato Mtaa wa Makorora waliposhiriki katika siku maalum ya Matendo ya Huruma Ulimwenguni......! 
Walitembelea vituo viwili vya wahitaji kikiwemo {Jela/Mahabusu ya watoto na kituo cha kulea wazee wasiojiweza} Huko walitoa vitu mbalimbali vya kusaidia mfano chakula na Nguo......!
Kisha mwisho walihitimisha kwa kuungana na vijana wenzao wa mtaa wa Kana katika zoezi la kuchangia Damu.
Japo mwanzo kulikuwa na manyunyu ila hatukujali
Hapa kwaya ya Vijana mabawa ikitupatia wimbo,Ilikuwa Mahabusu ya watoto
 kisha tukafika na Mabanda ya wazee wasiojiweza

Kutoka kulia kwako aliyesimama ni Paulo C.Mushi,Walichuchumaa ni Stela Paula,Elifadhi Wiliam,,,,Entuja William,Julius Kahema na Saimon John.

Hapa kwaya ya vijana Magomeni wakitupatia wimbo



No comments:

Post a Comment