Pages

Saturday 3 October 2015

Sabato ya mlimani.......!

Sabato ya Leo Tar 03  Oct  2015 imekuwa ni sabato ya pekee sana  kwetu,kwani imekuwa ni Sabato ya kupanda mlimani. Tumepanda mlimani kuzungumza na Mungu wetu tukiongozwa na wachungaji Charles Mashambo  na Michael Otieno...........! Mbali nakuwepo kwa program hiii ya maombi Ila poa kulikuwa program ya ugawaji vitabu kwa washiriki.
 Vitabu vilivyogawanywa  ni pamoja na Biblia  na vijuzuu vingine vingi. Kisha program ya kutembelea kwa kengo la kushuhudia
.......!





Hakika ilikuwa ni Sabato y pekee san a kwetu. Aribu tujiunge  pamoja  Ibada ijayo.Ili kufika kanisani kwetu kmaa upo Tanga mjini basi panda hiace  ziendazo donge kisha shu
kukia sokon makorora,uliza kwa hoda boda  wajuelekeze  mahali kanisa  lilipo.

No comments:

Post a Comment